John 1:42

42 aNaye akamleta kwa Yesu.

Yesu akamwangalia na kusema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa” (ambalo limetafsiriwa Petro
Petro kwa Kiyunani au Kefa kwa Kiaramu; maana yake ni Kipande cha mwamba.
).

Copyright information for SwhNEN